MTUHUMIWA AJULIKANAE KWA JINA LA MATIKU MKULYA AKIWA AMEPOZI NDANI YA GARI LA KITUO KIDOGO CHA POLISI MAZIZINI UKONGA MOMBASA LEO ASUBUHI. DAMU ALIZOTAPAKAA NI ZA MKEWE MAMA JOI BAADA YA KUMCHINJA.
Sehemu ya Umati ulijazana kumshuhudia beduhi huyo
UMATI wa watu leo asubuhi ulifurika nyumbani kwa Mwanajeshi Mstaafu Mang'eng'e Matiko baada ya mwanajeshi huyo kudaiwa kumchoma kisu mkewe wakigombea ardhi.
Wakizungumza na blog hii kwa nyakati tofauti baadhi ya wakazi wamedai kuwa mwanajeshi huyo amemchoma kisu mkewe sehemu mbalimbali za mwili wake na kisha na yeye kuanguka ghafla baada ya kupatwa na shinikizo la damu .
Wamedai kuwa wanamke huyo amejeruhiwa vibaya na ambapo alipelekwa katika kituo cha Polisi Karakata ambapo alipakizwa katika gari la polisi lenye namba T 481 AER aina ya Defender na kukimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.
"Mkewe amemchoma kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na aliweza kuokolewa baada ya kupiga kelele hata hivyo hali yake ni mbaya, " amedai mkazi mmoja wa Matiko Warioba ambaye ni kaka wa mtuhumiwa.
Wamedai kuwa mwanamke huyo alikuwa akikataa kuuzwa kwa ardhi lakini mwanaume huyo alikuwa akitaka kuuza jambo ambalo lilizua utata.
Imedaiwa kuwa mwanamke huyo alidai kuwa ardhi hiyo ingeweza kuwasaidia kutokana na kuwa na watoto wengi jambo ambalo mwanajeshi huyo hakukubaliana nalo.
Kutokana na mabishanoi hayo ghafla mwanajeshi huyo alianza kumchoma kistu mkewe katika sehemu mbalimbali za mwili wake ambapo majirani waliweza kusikia na kufika katika eneo la tukio.
Hata hivyo imedaiwa kuwa mwanaume huyo baada ya kufanya tukio hilo alianguka ghafla na kuanza kugaraza kwenye damu za mkewe kutokana na kupanda kwa presha.
Hata hivyo haikukwueza kufahamika mara moja kama mwanamke huyo amekufa ama ala.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile hakuweza kuzungumzia zaidi tukio hilo kutokana na simu yake ya mkononi kutopatikana.

ZAIDI PATA DAR LEO LA LEO HALINA MPINZANI
No comments:
Post a Comment