Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja na washindi watano kati ya saba walioshinda bahati nasibu.
Bi. Debora Msuya mshindi wa kutumia Tembo card
Mshindi wa pili wa Bahati Nasibu ya CRDB, Pamela Kipokola akihojiwa baada ya kukabidhiwa luninga.
Meneja Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB Bi. Tully Mwambapa akifafanua jambo wakati wa Hafla ya kuwapatia zawadi washindi walioshinda katika Bahati nasibu hiyoPicha na habari PR Promotion
No comments:
Post a Comment