Gari mbili zagongana na treni na kuacha watu vilema..!
daladala inayosafiri kati ya Temeke na Ubungo ikiwa nyakanyaka mara baada ya kupinduka ilipogonga kichwa cha treni ktk barabara ya kawawa juzi usiku, watu zaidi ya 20 walijeruhiwa.
Mmoja wa majeruhi wa ajali hio akipigia simu ndugu zake kuwafahamisha jinsi alivyovunjika miguu yote miwili
kijana akiwa hajitambui baada ya kupatwa na ajali hi0
No comments:
Post a Comment