header

nmb

nmb

Tuesday, February 17, 2015

KONYOGI WATOA MSAADA WA VYEREANI KWA VIKUNDI VYA KINA MAMA WA JIJI LA MBEYA

Meneja Mauzo wa kampuni ya Konyagi TDL, Joseph Chibehe kulia akimkabidhi vyerehani Mbunge wa viti maalum CCM DK,Mary Mwanjelwa vyerehani hivyo vimetolewa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwakwamua kina mama wa mbeya katikati ni meneja wa bidhaa wa kampuni hiyo ,Martha Bangu

meneja wa bidhaa wa kampuni hiyo ,Martha Bangu Kulia akiteta na
Mbunge wa viti maalum CCM DK,Mary Mwanjelwa

No comments:

Post a Comment