| Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi na viongozi wengine wa shule hiyo pindi alipotembelea mazingira ya shule. |
| Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi akitembelea bweni la wasichana katika shule hiyo. |
| Mh
Mbatia akizungumza jambo mara baada ya kuingia katika chumba maalumu
cha kujifunzia Komputa na kukuta bado shule hiyo wanatumia komputa
zilizopitwa wakati. |
| Mh Mbatia akitizama baadhi ya vitabu katika maktaba ya shule hiyo,kulia ni mkuu wa shule hiyo Sophi |
No comments:
Post a Comment