header

nmb

nmb

Saturday, October 11, 2014

MSANII JUMA KATUNDU AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA AMINA NGURICHE 'QUEEN EMMY'

Msanii Juma katundu  akiwa na nyuso ya furaha baada ya  ya kufunga pingu za maisha na amina said nguriche 'Queen emmy' ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita kimara mwisho nyumbani kwa bibi arusi bwana ni mwimbaji Wa bendi ya Msondo Ngoma na bi
. arusi ni Msanii Wa tasnia ya unenguaji nchini

 MAHARUSI WAKIWA NA MPAMBE WAO

No comments:

Post a Comment