header

nmb

nmb

Tuesday, February 18, 2014

AJABU NA KWELI: AJIFUNGUA BAADA YA KUBEBA MIMBA MIAKA 4

Habari ya kushtua ya mwanamke mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume baada ya kubeba ujauzito kwa miaka minne imeendelea kuzua mjadala mkali.

Bi. Oluchi Merife (Pichani akiwa amembeba Jeremiah) kabla hajajifungua tarehe 13, mwezi desemba 2013, aliachwa na mumewe, Azuka Uchendu baada ya kushindwa kujifungua baada ya miaka miwili. Bi Merife tayari alikuwa na watoto wawili kabla mumewe hajaondoka kwa madai kuwa mkewe huyo alikuwa amevimba tumbo na sio ujauzito.

Mama huyo mkazi wa mto Oji, nchini Nigeria alidai kuwa mumewe alitafuta mwanamke mwingine alipoona hali imekuwa mbaya.
“Nilipata mimba mwaka 2010 na nikaanza kwenda kliniki, nilipofika mwezi wa 5 nikaambiwa tarehe ya kujifungua. Lakini mwezi uliofuata (6) nikaaza tena kwenda hedhi (periods), hospitali wakaniambia mtoto ameacha kukua…” alianze kueleza mama huyo

No comments:

Post a Comment