Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
|
Akizungumza na paparazi wetu pasipo kuwataja majina, Shilole alisema wasanii wengi ni wavivu na kinachowaponza zaidi ni tamaa za kuwa na maisha mazuri, wanafikiri mafanikio yanakuja kirahisi pasipo kuhangaika. “Wanafikiri mafanikio yanakuja kirahisi bila kujishughulisha, ninawashangaa sana kwani wanajishushia hadhi zao kwa tamaa ya kutaka kuwa na maisha mazuri bila kufanya kazi, badilikeni,” alisema Shilole.
No comments:
Post a Comment