Mkurugenzi wa Masoko wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries (TDL), Joseph Chibehe (kushoto) akimkabidhi cheti cha kwa kuwa mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu wa kampuni hiyo, Ashura Omari wakati wa hafla ya wafanyakzi kufurahi pamoja na familia zao kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TDL, David Mgwassa.
Mkurugenzi Mtendajj wa Kiwanda cha Konyagi, David Mgwassa aimpatia Munisi cheti cha shukurani kwa kuwa mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu waliotumikia kiwanda hicho.
Mgwassa akimtunuku Michael Mrema cheti kwa kuwa mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu wa TDL
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Konyagi na familia zao wakishindana kufukuza kuku

- Sssa ni wakati wa mapumziko
- Watoto wa wafanyakazi wa TDL wakishindana mbio za magunia
No comments:
Post a Comment