Wafanyabiashara
mbalimbali wa kariakoo leo wameingia kwenye Mgomo kuishinikiza serikali
kupunguza bei ya mashine za TRA ambazo zipo kwa ajili ya kutoa risiti.
Mashine hizo ziitwazo Electronic Fiscal Device[EFD]
wamezigomea wakidai zinauzwa bei kubwa na sababu nyingine ni ile
asilimia inayokatwa kwenye kila bidhaa inayouzwa ambayo ni asilimia 18%.
Hili duka la Home shopping centre lipo barabara ya Uhuru nalo lilikuwa limefungwa.
Hapa ni Wafanyabiashara wakiwa wanajadili kuhusu huu mgomo ambao haujajulikana utaisha lini.
picha zote zimepigwa na millardayo.com
No comments:
Post a Comment