Meneja wa NMB Kanda ya Kusini,
Lilian Mwinula akimkabidhi Daktari Mfawidhi wa hospitali ya Ligula-Mtwara,
Mohamed Ahmed Gwao sehemu ya msaada wa vyandarua uliotolewa na benki ya NMB kwa hospitali
za mkoa wa Mtwara vyenye thamani ya shilingi milioni 10/-. Wanaoshuhudia kutoka
kushoto ni matroni wa hospitali ya Ligula, Theofrida Manoti, Mganga Mkuu wa
Wilaya, Joseph Mwiru na Meneja wa tawi la NMB Mtwara, Richard lema.
No comments:
Post a Comment