Meneja
Huduma kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw.
Allan Joseph Kiula, akipata maelezo kuhusu bidhaa na huduma zinazotolewa
na benki ya NMB kutoka kwa Afisa wa NMB, Adamu Karazani (kushoto)
alipotembelea banda la NMB katika maonyesho ya wiki ya mlipa kodi
yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Wengine kutoka kulia ni
maofisa wa NMB Edith Mavura na Exvaria Mapunda.
No comments:
Post a Comment