Kombe
la Dunia tayari limetua jijini Dar es Salaam ambapo limepokelewa katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kutolewa kwa msafara
wa magari 10 aina ya Hyundai. Watanzania watapata fursa nyingine ya
kuliona kombe hilo hapo kesho katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kuanzia
saa 3 asubuhi.
No comments:
Post a Comment