Mkuu wa
kitengo cha huduma za Kilimo NMB , Robert Pascal akifafanua jambo
wakati wa mkutano wa kutangaza udhamini wa benki ya NMB wa dola elfu
tano ($ 5000.00) kwa ajili ya kuadhimisha mkutano wa wawekezaji wa kubangua Korosho utakaofanyika mwezi wa Novemba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Mifumo ya Teknolojia kutoka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) John Kyaruzi,
Mkuu wa kitengo cha huduma za Kilimo NMB,
Robert Paschal akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kutangaza udhamini
wa benki ya NMB. Benki ya NMB imetoa dola elfu tano ($ 5000/=) ili
kuadhimisha mkutano wa wawekezaji wa kubangua Korosho utakaofanyika
wiki ijayo jijini Dar es salaam kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu Bodi ya
korosho, Mfaume Juma anaefuatia ni Mkurugenzi mkuu wa kituo cha
uwekezaji, John Kyaruzi.
No comments:
Post a Comment