header

nmb

nmb

Thursday, October 31, 2013

LUTENI WA MLIMA WA JWTZ ALIYEUAWA AKILINDA AMANI DRC CONGO AZIKWA DAR


 Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakishusha kwenye gari jeneza lenye mwili wa  askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo la Goma. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
PONGEZI
 Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakiwa wameinamia kwa huzuni  jeneza lenye mwili wa  askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo la Goma. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
PONGEZI
 Waombolezaji wakijiandaa kufanya maziko
 Waombolezaji wakifanya maziko

 Askari wa JWTZ wakitoa heshima wakati wa maziko
 Meja Leonidas Luangisa akisoma wasifu wa marehemu Luteni Mlima.
Mseamaji Mkuu wa Familia ya Mlima, Balozi Alhaji Saleh Tambwe akisoma za familia na kuwashukuru watu wote walioshiriki kwenye mazishi hayo.

No comments:

Post a Comment