gazeti la MWANANCHI halikuchapishwa wala
kuuzwa kwa takribani majuma mawili kwa agizo la serikali. Kuhusiana na
hilo, Gazeti hilo sasa limerejea kuanzia leo tarehe 11.10.2013 gazeti litakuwa mitaani kama
kawaida. Kwa hiyo kuanzia sasa wasomaji wa gazeti hilo maarufu wataendelea
kupata gazeti lenye habari za uhakika zinazojikita kwenye umahiri, uhuru, na weledi
wa uandishi na uhariri.
No comments:
Post a Comment