header

nmb

nmb

Tuesday, September 3, 2013

NHIF YAZINDUA HUDUMA ZA BIMA YA AFYA YA JAMII (CHF) MJINI KILWA

 
Adoh Mapunda Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za Bima ya Afya katika Halmashauri ya wilaya ya Kilwa jana. Kulia ni Bw. Khamis Mdee Kaimu Mkurugenzi NHIF na kushoto ni Dr. Hilda Mwakipesile.
 3
Baadhi ya wazee wakisubiri kupata huduma ya upimaji wa afya zao katika viwanja vya Mkapa Garden mjini Kilwa jana.


8
Mshindi wa shindano la kukuna nazi Aziza Abas akipongezwa na Fortunata Raymond Msimamizi wa NHIF Mkoani Lindi pamoja na wenzake mara baada ya kushinda katika shindano la kukuna nazi jana.
9
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Bw. Khamis Mdee akimpongeza Aziza Abas mara baada ya kushinda katika shindano la kukuna nazi.
10
Akina mama wakichuano vikali kukuna nazi ilikuwa si mchezo.
 11


15
Athman Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akiwatambulisha madaktari waliokuwa wakichukua vipimo katika zoezi hilo.

No comments:

Post a Comment