![]() |
| Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya akiwa chini ya ulinzi. |

Anthonia Ojo akiwasili kituo cha polisi cha JNIA baada ya kukamatwa
![]() |
| Hati yake ya kusafiria |

Anthonia Ojo akitoa madawa alikokua amyaficha kwenye mikebe ya poda na shampuu
![]() |
| Kete alizokamata nazo |



No comments:
Post a Comment