header

nmb

nmb

Tuesday, August 13, 2013

SHEIKH PONDA


Picha ya juu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda,akipata matibabu  muda mfupi baada ya kuumizwa na kitu chenye ncha kali kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro baada ya kumalizika kwa kongamano ya Dini ya Kiislamu.

No comments:

Post a Comment