Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya
Catherine Foundation, Catherine Magige akikabidhi msaada wa vyakula na
vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Help for the Maasai
kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya zawadi za Mkono wa
Idd El Fitiri kwa yatima na wasio jiweza.
Catherine (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi na wasimamizi pamoja na watoto wa kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha



No comments:
Post a Comment