Mchezaji wa zamani wa timu ya Birmingham city Christian Benitez
amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27. Mshambuliaji huyo wa
kimataifa wa Ecuador aka "Chucho" mwezi uliopita tu alijiunga na klabu
ya El Jaish kwa ada £10million
Chucho Benitez alichezea Birmingham City mara 36 wakati alipokuwa kwa mkopo mwaka 2009- 2010
wachezaji mbali mabali wa mpira wa miguu wamekuwa wakitowa salamu za rambi rambi kupitia mitandao ya kijami


No comments:
Post a Comment