
Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake baada ya kumpatia mapokezi ya kihistoria jana Ikulu.
(Picha Zote na Issa Michuzi-Ikulu)
No comments:
Post a Comment