Watayarishaji wa Festival ya "Brüderschaft der völker " mjini Aschaffenburg,
nchini
Ujeruamani,wameuhalika Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) kushiriki
katika maonyesho hayo utamaduni wa nchi mbali mbali yatakayo
anza 19 hadi 21 Julai 2013.
Mhe.Mfundo,mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Ujerumani(UTU)
Tanzania,wandaaji wa onyesho hilo wametoa nafasi kwa umoja wa watanzania kushiriki na kuitangaza Tanzania kwa kasi zaidi.
huo kwa mikono miwili na amewaomba Watanzania wote wanaoishi
nafasi waliyopewa kwa maslahi ya Tanzania na watanzania, Umoja wa
Mnakaribishwa wote na kwa maelezo zaidi wasiliana na
No comments:
Post a Comment