header

nmb

nmb

Tuesday, May 28, 2013

MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WATANO(WALIOFARIKI WOTE JUZI) ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI HUKO SONGEA


Bi Jane Mlelwa aliyekaa kitandani akiwa amebeba mmoja wa  wawatoto watano aliowazaa kabla ya watototo hao kufa wote(Picha na maktaba)
Hawa ndio watoto aliojifungua katika hospital ya Mkoa wa Ruvuma na kesho wakafaliki dunia (Picha na maktaba)
 
 MWALIMU Sophia Mgaya(28) NI mkazi wa Ruhuwiko mjini Songea mkoani Ruvuma alijifungua watoto watano kwa wakati mmoja kwa njia ya upasuaji mnamo Mei 25 mwaka huu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma iliyopo mjini Songea na watoto hao kuishi kwa muda wa masaa kumi kabla hawajafariki dunia ameruhusiwa kutoka hospitalini hapo.
SOURCE; www.pamojapure.blogspot.com

No comments:

Post a Comment