Eneo la mgodi linavyoonekana
watu zaidi ya 18 wanahofia kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi katika mgodi wa Morrum, Mshono Arusha. zoezi la uokoaji unaendela na mpaka sasa ni huyo mtu mmoja ambae ameokolewa akiwa majeruhi. picha zaidi http://www.globalpublishers.info



No comments:
Post a Comment