wanawake
waungana kususia bidhaa na maonyesho ya mwanamuziki diamond Kwa
Kumdhalilisha Bi.Wema Sepetu kwa kumrekodi katika simu na kusambaza mazungumzo
nyeti !
Kitendo
cha Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond,cha
kurekodi mazungumzo yake na star wa Bongo Move Bi.Wema Sepetu,
na
kuyatuma mazungumzo yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo cha "Udhalilishaji
wa Mwanamke" . kwa kuwa wanamuziki na wasanii wote wanatakiwa
wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kuielekeza jamii kuishi
kwa
kufuata na kuheshimu maadili ,lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa ni
kiongozi wa "Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia kitendo
chake cha
kurekodi
na kusambaza mazungumzo yao ya simu ya kimapaenzi kati yake na
Bi.Wema
Sepetu na mpenzi wake wa sasa Bi.Penny,kitendo hiki ni cha "kuwadhalilisha
wanawake wa kitanzania" Tunaowaomba akinamama
na
kinadada na wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video,vcd,cd
pia
kugomea kuhudhuria onyesho lolote lile litakalofanywa na mwamuziki
Nasibu
Abdul Juma aka Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wote
wa
kitanzania popote pale walipo.
Wanawake
wote wanatakiwa kugomea maonyesho ya mwanamuziki huyo na
na kutonunua
bidhaa za mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia hizi chafu za
"Udhalilishaji wa Mwanamke"
Wanawake
wote ambao wamempa like au ad katika mitandao kama facebook kujiondoa mara moja
na kogemea kununua
jarida au
gazeti lolote litakalo mpamba mwanamuziki huyo.
No comments:
Post a Comment