mh.ernest mwipopo wa pili kutoka mkono wa kushoto
JAJI MSTAAFU Mh. ERNEST MWIPOPO amefariki katka ajali mkoani morogoro leo, mtoto mdogo wa marehemu lukelo mkani ameueleza mtandao wa Francis Godwin kuwa ajalihiyo imetokea leo na taarifa zaidi zitatolewa
No comments:
Post a Comment