UKATILI DHIDI YA WANAWAKE BADO KITENDAWILI KILICHOKOSA MTEGUZI KANDA YA ZIWA.KIJANAMCHINJA MKEWE KAMAKUKU DU sAMAHANI KWA PICHA HII
PICHA YA JUU
Ni mwana dada Matha Charls (kulia miaka20)na rafiki ake enzi za uhai wake
PICHA INAYO FUATA
Matha akiwa mechinjwa kama kuku na Mtu anaye Daiwa ni Mumewake
PICHA YA CHINI
Ni Mtu anaye daiwa kuwa ni mume wa Matha aliye mchinja Mkewe kama Kuku akiwa.
Mtuhumiwa huyo anaye daiwakutekeleza unyama huo kuwa ni Asack Nzolela (29), mfanyabiashara wa bucha la nyama ya ng’ombe.
Afande Lyanga alisema mtuhumiwa alimchinja mkewe wakiwa wamelala chumbani kwenye nyumba ya wazazi wa mwanaume huyo na baada ya kufanya ukatili huo alikimbia.
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Afande Onesmo Lyanga alisema tukio hilo lilitokea katikati ya wiki iliyopita ambapo pia alimtaja mume anayedaiwa kutekeleza unyama huo kuwa ni Asack Nzolela (29), mfanyabiashara wa bucha la nyama ya ng’ombe.
Habari za uhakika zilizopatikana kutoka katika familia ya marehemu zilisema chanzo cha mauaji hayo ni ugomvi wa kifamilia ambapo mtuhumiwa alianza kwa kumlaumu mama yake mzazi kwa kitendo cha kumtafutia kazi mkewe katika Halmashauri ya Mji wa Kahama wakati yeye alikuwa hataki mkewe afanye kazi.
Habari zilizopatikana eneo la tukio kutoka kwa mmoja wa ndugu anayeishi na familia hiyo, Paul Edward alisema mbali na kuchinjwa shingoni pia marehemu alikatwakatwa sehemu mbalimbali za mwili wake Jamaa huyu.
No comments:
Post a Comment