Nelson Mandela, yuko hospitalini kwa siku ya tatu kwa matibabu ya ugonjwa wa mapafu.
Bwana Mandela ambaye ana umri wa miaka 94, amekuwa hospitalini mjini Pretoria tangu Jumamosi .
Akizunguzungumza kwa huzuni, mke wa zaman wa raisi huyo alisema kuwa kuumwa kwa Mandela kulimgusa sana na kumpa huzuni ila anashukuru kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kukaa siku tatu hospitalini.
No comments:
Post a Comment