Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Hussein Bashe akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam, kitengo cha Mifupa (MIO) alikolazwa, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Absalom Kibanda Baada ya kuvamiwa na kupigwa vibaya na watu wasio julikana.
No comments:
Post a Comment