KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA dARAJA LA KIGAMBONI LINALO JENGWA NA NSSF
Mhandisi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Karim Mattaka akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea kuangalia maendeleo ya ujenzi wa mradi wa daraja la Kigamboni. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Peter Selukamba.
No comments:
Post a Comment