header

nmb

nmb

Wednesday, February 20, 2013

Kikwete Akutana na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 19, 2013
ais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 19, 2013 kumwelezea mipango ya kufungua benki hiyo itayoshirikisha jamii katika mkoa huo mpya na ya jirani katika azma ya kumkomboa mjasiriamali na mkulima
mdogo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 19, 2013.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment