Shaban Maranda na Farijala Hussein wakipanda karandika la Jeshi la Magereza kuendelea kutumikia vifungo vyao baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Maranda amehukumiwa na mahakama hiyo kifungo cha miaka miwili na Farijala miaka mitatu baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia serikali hasara ya sh. bilion 3.8
No comments:
Post a Comment