Mtunzi na Mwasisi wa Jina la Tanzania, Bw Mohamedi Igba (kushoto) akizungumza na Mwandishi wa Mtandao huu ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Lindi Abdulaziz Ahmeid mara baada ya uzinduzi wa msikiti wa madhehebu ya Ahmadiya mjini Lindi ambapo Igbar ndiye alikuwa mratibu mkuu na kufanikisha kukusanya Tsh 50Millioni. Mohamed Igbar aliasisi jina la Tanzania wakati akiwa mwanafunzi Tabora Secondary baada ya Serikali ya wakati huo baada ya muungano kutangaza kwenye magazeti kutaka wananchi wapendekeze jina na yeye kuibuka kidedea. |
No comments:
Post a Comment