Makamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Wakiongozwa na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Kamanda Mohamed Mpinga (watatu kutoka kulia) wakiwa katika picha ya Pamoja na maofisa wa nchi ya Ujerumani wakati wa mafunzo ya wiki 1,yaliyoanza (21/10 - 27/10/20120) katika jimbo la Lower Saxon.
Wengine alioongozana nao katika safari hiyo ni ACP Kilonzo kutoka PHQ , ASP Msuyale Traffic HQ .
Pia Makamanda hao walipata nafasi ya kutembelea Mji mkuu wa jimbo la Hannover, Neunberg, na Gottingen. na kujionea upimaji mwendo kasi kwa mtambo maalum unaopiga picha, na rader ya kawaida, ukaguzi wa malori ya mizigo na mambo mengine mengi yahusuyo Usalama Barabarani.
Akielekezwa
Kamanda Mpinga akionyesha Gari la polisi wa kikosi cha usalama Barabarani la nchini Ujelumani
No comments:
Post a Comment