STIKA ZENYE NAMBA ZA VITUO VYA POLISI KUBANDIKWA KWENYE MABASI.Hii itakuwa ni kiboko kwa wajanjawanja
Kamanda Mkuu wa Kikosi Cha Usalama Barabarani akizungumza na Waandishi wa Habari Mara baada ya kuzindua kampeni ya kubandika stika zenye namba za simu za vituo mbalimbali ambazo abiria watazitumia kwaajili ya kutoa taarifa za usalama na matukio ya uvunjifu wa sheria barabarani.
Kampeni hiyo inadhaminiwa na benki ya posta (TPB)
| Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Moshingi akibandika sitika hizo. |
| Mmoja wa Madereva waliokabidhiwa Stika hizo kwaajili ya kuzibandika kwenye magari |
No comments:
Post a Comment