Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na Kocha Mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet, alipoitembelea kambi ya mazoezi ya timu hiyo, ikiwa katika maandalizi ya mchezo wa robo fainali ya kombe la Kagame dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar utakaofanyika Jumatatu Julai 23 kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Habari Mseto Blog)
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiongea na nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja (kulia) alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es salaam. TBL ni mdhamini Mkuu wa vilabu vya Simba na Yanga.
No comments:
Post a Comment