DADA WAZEE YUSUSFU KHADIJA YUSSUF APATA MUME MPYA
CHIRIKU wa uimbaji wa muziki wa taarb Khadija Yussuf aachana na ukapera usiku wa jana usiku katika ndoa iliyofungwa nyumbani kwa kaka Mfalme Mzee Yussuf Magomeni - Dar es salaam.
Blog hii inaungana na familia yake pia kama mdau wa taarab nampongeza sana wajina na kumtakia barka tele katika ndoa yake .

No comments:
Post a Comment