header

nmb

nmb

Tuesday, June 26, 2012

BREAKIIIIING NEWSSSS, WATU 40 WAFA KWA KUKOSA HEWA WAKISAFIRISHWA KWENYE KONTENA DODOMA

WATU 40 wanaosadikiwa kuwa raia wa kigeni wadaiwa kufa kwa kukosa hewa wa wakisafirishwa  kwenye kontena wilayani Kongwa, Dodoma leo.

Inadaiwa baadhi wamenusurika lakini wako hoi wamekimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Haijajulikana watu hao walikuwa wanatoka nchi gani na wanapelekwa nchi gani.

Kamanda wa Matukio inawaahidi kuwaletea habari zaidi juu ya tukio hilo kwa kadri itakavyokuwa inazipata kutoka Dodoma.

No comments:

Post a Comment