BASI LA NBS LA PINDUKA NA KUUA WATU SABA
Ajali ya basi la kampuni ya N B S lenye namba T 978 ATM Scania, leo katika eneo la jineri kilomita mbili kabla ya kufika Igunga Mjini na kuua watu saba papo hapo wakiwepo wanaume watatu na wanawake watatu na mtoto mmoja wa kiume. Basi hilo lilikuwa linatokea mkoani Tabora kuelekea Arusha. (PICHA NA ABDALLAH AMIR)



No comments:
Post a Comment