Mbunge mteule wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Joshua Nasari akiwasili katika viwanja shule ya msingi Leganga Usa River Wilayani Arumeru ambako mkutano mkubwa wa shukurani ulifanyika huku mwenyekiti wa Chama hicho akiongoza mkutano huo wa hadhara uliohusisha wabunge kadhaa wa chama cha CHADEMA.
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu akizungumza na wana Arumeru katika mkutano huo wa shukurani.
Mwenyekiti wa CHADEMA na mbunge wa Hai Freeman Mbowe akizungumza na kuwashukuru wana Arumeru kwa kumchagua Joshua Nasari katika uchagzui huo.
No comments:
Post a Comment