Rose Ndauka(chini) na Maya (juu)
Issabela
Maya
Halima
Musa Mateja na Erick Evarist
AMA kweli dunia imekwisha! Imebainika kuwa baadhi ya mastaa wa kike wa tasnia mbalimbali Bongo, wamejiingiza kwenye magenge ya kufanya vitendo vya ngono vya wenyewe kwa wenyewe (usagaji).
Kwa mujibu wa uchunguzi wetu, baadhi ya mastaa hao wamekuwa malimbukeni kwa kufanya vitendo vilivyo nje ya maadili ya Kitanzania likiwemo hili la usagaji.Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, wanachokifanya mastaa hao kwa sasa ni kuzungukana wao kwa wao wakifanya dhambi hiyo.
VIASHIRIA
Imebainika kuwa mastaa wa kike wenye ukaribu zaidi wana mambo ya ajabu nyuma ya pazia.Mastaa hao ambao wanakuwa pamoja kwenye kumbi za starehe
No comments:
Post a Comment