header

nmb

nmb

Wednesday, March 7, 2012

CHONDE,CHONDE MADAKTARI.PINDA ALONGA NA WANAHABARI KUWAOMBA MADAKTARI WAACHE KUANZA MGOMO





Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu tishio la mgomo wa madaktari ambao walidai utaanza kesho ambapo aliwataka kuwa wazalendo kwa kuusitisha ili kuepusha vifo vya watanzania vitakavyosababishwa na mgomo huo.

No comments:

Post a Comment