header

nmb

nmb

Tuesday, February 14, 2012

Wikiendi hii tenda Dar Live Kuwaka moto kama Wikim iliyopita Ona mambo hayooooooo

Mwanamuziki Shilole naye alikuwepo.


Mmoja wa washiriki wa ‘Vaa, Imba, Cheza Kama Rihanna’ akijinafasi.


AY (kushoto) na Mwana FA wakikamua .


. …Wakiendelea kuwapagawisha mashabiki.


Temba akichana mistari.


. Chegge (kushoto) na Temba wakiwika stejini.


Dogo Aslay akifanya vitu vyake.


Msafiri Diouf akiwapa raha mashabiki


Mwanamuziki wa 'Twanga Pepeta', Luiza Mbutu, akiimba na kucheza. Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakionyesha ‘matindo’.


Zamu ya Wakali Dancers


Afua Selemani wa East African Melody.


East African Melody wakiwa kazini.


Mashabiki lukuki walioijaza Dar Live.


Akina Rihanna Wakiwa Pamoja
--

KITUO cha maraha cha Dar Live kilichoko Mbagala jijini Dar kilirindima kwa vifijo vya burudani ya muziki kutoka vikundi mbalimbali vya wasanii. Ilikuwa ni ‘kufuru tupu’ wakati wasanii AY akishirikiana na Mwana FA walipotoana jasho na wenzao kina Chegge na Temba kutoka katika kundi la Wanaume Family yote hayo yakisindikizwa na burudani kutoka kundi la taarab la East Africa Melody, Wakali Dancers, Dogo Aslay, Shilole na bendi ya muziki wa dansi ya African Stars 'Twanga Pepeta.

No comments:

Post a Comment