header

nmb

nmb

Wednesday, February 1, 2012

WAOSHA MAGARI KATIKATI YA JIJI LA MBEYA WATIMULIWA MCHANA HUU
Moja ya vijana waosha magari katikati ya jiji la mbeya akibebwa juu kwa juu mara baada ya kukamatwa na mgambo, halmashauri ya jiji imewapiga marufuku vijana hao kuosha magari katikati ya jiji kwani wanachafua barabara na kuwasumbua wenye magari kuwalazimisha kuwapa helaMgambo wa jiji la mbeya wakiwakamata vijana waosha magari

No comments:

Post a Comment