header

nmb

nmb

Thursday, February 2, 2012

SHYROSE BHANJI WA NMB MAUTUTI KALAZWA


Afisa uhusiano wa NMB na aliyekuwa mgombea nafasi ya kuwa mwakilishi wa Ubunge Kinondoni kupitia chama cha Mapinduzi Dada Shyrose Bhanji akiwa amelazwa.

Hii ni kutokana na hali yake ya kiafya kuwa mbaya sana,mungu msaidie binti yetu Shyrose.

No comments:

Post a Comment