header

nmb

nmb

Tuesday, February 21, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKABIDHIWA UCHIFU WA KABILA LA KIKONONGO-INYONGA


*



Makamu Wa Rais wa Jamhuti ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa na mavazi ya asili ya kabila la Kikonongo baada ya kuvishwa na kutunukiwa uchifu wa Kabila la Kikonongo na machifu wa Kijiji cha Inyonga Wilaya ya Mpanda wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Rukwa na Katavi jana.


Ngoma ya asili ya kabila la wasukuma.


Sufianimafoto ndani ya Kijiji cha Inyonga, Katavi.





No comments:

Post a Comment