header

nmb

nmb

Tuesday, February 14, 2012

KIJIJI CHA WASANII,Hayawihayawi sasa yanakuwa Nyumba hizo hapo zimeanza kupendeza
Waandishi wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwa ajili
ya kwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji
cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani
jana kutoka kulia ni Tomm Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi Mwanza
Mpango ' King Kiki'.(picha na www.burudan.blogspot.com)Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib
(kulia) akiwa na wajumbe pamoja na viongozi wa mtandao huo
walipokwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji
cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani
jana wa pili kulia ni Ahmed Olotu 'Chilo' Kikumbi Mwanza Mpango ' King
Kiki' Katibu wa mtandao huo, Selemani Pembe.(picha na
www.burudan.blogspot.com)
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib
(katikati) akimwelekeza Sheikh Majaliwa Selemani aliekwenda kuangalia
maendeleo ya kijiji cha Mwanzega Mkulanga Tarafa ya Chingungweni,
zinapojengwa nyuma kwa ajili ya wasanii Sheikh Majaliwa , alitoa Ahadi
ya kujenga Msikiti na Madrasa itakayofadhiliwa na African Relief

No comments:

Post a Comment