header

nmb

nmb

Monday, February 6, 2012

AJALI ENEO LA NDULI IRINGA


Ajali hii ilihusisha pikipiki na baiskeli katika eneo la Nduli mkoani Iringa. Barabara ni pana sana, lakini sijui ilikuwaje wakagongana. Mwendesha baiskeli aliyeketi alikuwa amepakia ulanzi.Inawezekana ni matokeo ya kilaji! . Chanzo Mjengwa Blog


No comments:

Post a Comment