header

nmb

nmb

Wednesday, January 18, 2012

Wanawake wapata hekaheka jana ya kvuliwa suruali Lilongwe, Malawi janaMmoja wa wanawake akivuliwa suruali jijini Lilongwe jana kufuatia wamachinga kuruhusiwa kuendesha operation hiyo kwa madai kwamba suruali siyo vazi la mwanamke. Sijui ikija Bongo itakuwaje, inaelekwa watavuliwa nchi nzima Picha kwa hisani ya mtandao wa Malawi Voice

No comments:

Post a Comment